Fiberglass Fire Blanket – Emergency Fire Safety Protection🔥🧯

99000 Sh

Blanketi hili la kuzima moto ni kifaa muhimu kwa usalama wa nyumbani, jikoni au kazini.

Hufanya kazi kwa kufunika moto na kukata hewa, hivyo kuzima moto haraka bila kuacha uchafu kama kizima moto cha kawaida.

Limetengenezwa kwa fiberglass inayostahimili joto kali, hivyo linafaa kwa dharura mbalimbali kama moto wa jikoni au vifaa vya umeme.

Shopping Cart
BOFYA HAPA KUNUNUA